Sale!
Sale!

Tosha tea

Original price was: Sh15,000.Current price is: Sh10,000.

DR BOAZ KITCHEN TOSHA TEA.

Fungua Kinywa na Kiungo Asili chenye mchanganyiko wa viungo mbalimbali Asili kama,Iriki,Mchaichai,Tangawizi na Stevia.

Kiungo hiki kina Asili ya Utamu,, hivyo basi ukitumia huna haja ya kuweka SUKARI wala ASALI chenyewe KIMEJITOSHELEZA.

Faida za DR BOAZ KITCHEN TOSHA TEA.

1. Inakata Uteja / hamu ya kulakula
vyakula vya SUKARI na WANGA.

2. Husaidia kama una matatizo katika mfumo wa chakula gesi, kiungulia, choo kigumu

3. Husaidia kusafisha mfumo wa chakula na kuimarisha Usagaji wa Chakula.

Inaweza kutumika kwa Mtu yeyote Mwenye
Maradhi yafuatayo.
2. Kisukari
3. Presha
4. Uzito mkubwa na Kitambi
5. Nguvu za kiume
6. Pumu
7. Vidonda vya tumbo
Na mtu yeyote anayependa kulinda afya yake

TUNA MAWAKALA ZAIDI YA MIKOA 15 ORODHA YA MAWAKALA IKO HAPA CHINI

NAMBA ZA KUTOA ODA NI 0767 074124 AU 0767 030160 AU 0787 999 994 

 

 

TAZAMA VIDEO HIZI ZA MAELEKEZO JINSI YA KUTUMIA KIUNGO HIKI

 

 

 

 

 

You may also like…

    • Quick view
    • Compare
    • Wishlist
    17%

    Cashewnuts Flour 250g

    0 out of 5 0
    Original price was: Sh18,000.Current price is: Sh15,000.
Tosha tea
Original price was: Sh15,000.Current price is: Sh10,000.
Recently Viewd Products
Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
  • amount
  • brands
Click outside to hide the comparison bar
Compare