Nsambo Healthcare Polyclinics

Nsambo shop ni duka la mtandaoni linalojihusisha na uuzaji wa huduma za bidhaa asilia za chakula, Programme za elimu na Mafunzo na Bidhaa za Afya.

Duka hili linaendeshwa chini ya usimamizi wa Kampuni ya Healthy Eating inayojihusisha na utoaji elimu na Mafunzo ya kudhibiti magonjwa ya Lishe kama vile Kisukari, Uzito mkubwa na Kitambi, Matatizo ya homoni na Ugumba nk. Hivyo Bidhaa na Program zote zinazopatikana ndani ya duka hili zinalenga kutatua changamoto hizo kwa mtumiaji.

Lengo la Kuanzishwa kwa duka la Nsambo

  • Nsambo shop inalenga kutatua changamoto ya upatikanaji wa elimu ya mtindo wa maisha (Life style Modification education) pamoja na upatikanaji wa bidhaa rafiki za chakula kwa walioamua kubadili mtindo wa maisha.
  • Kupunguza idadi ya wagonjwa wanaothiriwa na vyakula ambavyo vinatengenezwa bila kuzingatia mahitaji ya watu wenye matatizo ya Lishe.
  • Kupunguza gharama kwa waathirika wa magonjwa ya Lishe kama vile wagonjwa wa Kisukari, Uzito mkubwa na Kitambi, Matatizo ya Homoni na Ugumba nk, wanazotumia katika kutatua matatizo hayo.

Ili kufikia lengo hilo asilimia 70 ya bidhaa na programu za mafunzo katika duka hili vimeandaliwa na kampuni ya Healthy Eating ambayo lengo lake kubwa ni kudhibiti magonjwa ya Lishe kwa kutumia chakula.

Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
  • Image
  • SKU
  • Rating
  • Price
  • Stock
  • Availability
  • Add to cart
  • Description
  • Content
  • Weight
  • Dimensions
  • Additional information
Click outside to hide the comparison bar
Compare