
KUHUSU KOZI HII
Ni programu ya lishe imetengenezwa chini ya usimamizi wa Nsambo Healthcare Polyclinic.
Programu hii inalenga kukusaidia kula kwa uzingativu wa lishe bora. Pia itakusaidia kudhibiti kitambi na uzito uliokithiri ili kujikinga na magonjwa ya lishe.
Dhumuni la Kozi hii ni kumfundisha kila mtu apate uelewa juu ya Kitambi, madhara yake na suluhisho lake. Hii ni programu ya kozi ya video na Maandishi utajifunza hatua kwa hatua taratibu kwa muda wako wa ziada popote pale ulipo kwa njia ya video, unahitaji kuwa na simu au kompyuta na internet pekeee kujifunza na kutekeleza.









Utajifunza Popote pale ulipo kwa njia ya mtandao. Usajili umefunguliwa tunapokea wanafunzi ambaye yuko tayari kubadilisha afya yake sasa.



