DR BOAZ KITCHEN ALMONDS MUFFINS
1. Ni pishi mbadala wa Ngano nzima kwa wagonjwa wenye magonjwa ya lishe na anayependa kula kiafya.
2. Zina mafuta mazuri mengi ALA ambayo hubadilishwa kuwa DHA na EPA. Pia zina Protini zakutosha kujenga mwili wa Mgonjwa kama Amedhoofishwa na Magonjwa.
3. Ni chanzo kizuri cha Virutubisho (Vitamini). Hivyo Huimarisha afya yako kwa kiwango kikubwa sana.
MAKUNDI YANAYO NUFAIKA
1. Mtu Yeyote anayependa Kula Kwa Kuzingatia Lishe bora.
2. Mtu mwenye magonjwa ya Lishe Uzito Mkubwa,Kisukari,Shinikizo la damu,Mvurugiko wa Homoni za Kike na Kiume nk
3. Mtu mwenye Magonjwa ambukizi yaliyo dhoofisha mwili. Mfano Kansa, TB, HIV nk
4. Watoto wadogo na Wazee ni Mbadala mzuri wa Unga Kupikia Vitafunwa na Vinywaji.
