Ge𝒕𝒇𝒊𝒏𝒆 𝑺𝒖𝒑𝒆𝒓 𝑷𝒓𝒆𝒎𝒊𝒖𝒎 𝑪𝒐𝒍𝒍𝒂𝒈𝒆𝒏
Inakupa mahitaji ya kila siku ya collagen mwilini sambamba na Vitamin C, Biotin na Hyaluronic acid.
Kirutubisho hiki cha Getfine Super Premium Collagen kinatumika kuchanganya kwenye:
☕Maji yalio chemshwa
☕Kahawa ya moto
🍲supu
🍲 vilevile unaweza kuweka kwenye chakula cha siku, vyakula vya kuoka kama mkate n.k na matumizi yake ni kijiko kimoja tu, asubuhi na jioni.
🌍Getfine super premium collagen inapatikana kwa mawakala wetu waliopo sehemu mbalimbali au tupigie simu namba:
📲0695 030 160.






