UNGA MBADALA WA LISHE: UNAFAA KWA WATOTO NA WATU WAZIMA KWA LISHE BORA
BEI YA UNGA NA UJAZO WAKE
1. Unga wa almond 32,000 Nusu kilo
2. Unga wa Korosho Tsh 25,000 Nusu Kilo
3. Unga wa Mbegu za Maboga Tsh 15,000 Nusu kilo
Unga huu haujachanganywa na Kitu Chochote ni asilimia 100 unatokana na Almond, Korosho na Mbegu za maboga
Unafaa Kupika mapishi Mbalimbali katika Makundi yafuatayo:-
1. Kwa watoto wadogo Kuwatengenezea Lishe kupika Uji.
2. Kwa anayependa Kula kiafya
3. Anayetaka Kudhibiti magonjwa yote ya chakula Lishe hizi zina msaada mkubwa
4. Kwa watu wasiokula ngano kwa sababu ya Gluten
5. Mtu ambaye akila ngano na aina nyingine za nafaka au wanga hupata shida ya gesi na kiungulia.
ZINGATIA MATUMIZI YA UNGA
Hautumiki kama vile unavyo tumia ngano kumbuka unga huu unatumika hasa kwa wenye magonjwa ya lishe ili wapate Virutubisho toshelevu kila siku kwenye Chakula. Unatumika kwa Kuzingatia Kiwango ili usiathiri matokeo.
Mfano: Kwa siku unatakiwa Ule Chapati Moja tu ya Korosho au almond unatakiwa kupima Kijiko 1 cha chakula uvunje na mayai 2-3. Halafu ndipo unakaanga.
Hebu jiulize kila siku unatoa Kijiko 1 nusu kilo ya unga Itachelewa kuisha. Kwa uzoefu wetu Unahitaji bajeti ya Nusu Unga wa Korosho, Nusu Unga ya Almond na Nusu Unga wa Maboga kwa mwezi mzima.
MATUMIZI YAKE:
1. Kutengeneza Chapati za Maji au Kumimina (Pancakes)
2. Kutengeneza Uji kwa kutengeneza wenyewe tupu au kuchanganya na nafaka kuongeza Virutubisho katika lishe ya mwanao
3. Kutengeneza Keki za aina zote
4. Kutengeneza Mikate ya Korosho almonds na mbegu za maboga

Unga huu asilimia 100 haujachanganywa na nafaka sababu wateja wetu wengi hutumia unga huu wakati wakitekeleza programu za lishe bora kudhibiti magonjwa ya lishe.
- Wenye uhitaji wa kudbiti uzito na kitambi
- Watu wenye Uhitaji wa Kuongeza mwili na Kuboresha afya
- Watu wanaopenda kula lishe bora ba kujikinga na magonjwa ya lishe.
- Wenye uhitaji wa kudhibiti kisukari, magonjwa ya moyo, kuweka homoni vizuri wanapotekeleza lishe bora unga huu unafaa sana kwa matumizi mbadala wa ngano.
Sasa Furahia mapishi mbalimbali ya vitafunwa vya kuoka kama Keki,chapati, mikate,waffles nk bila kutumia unga wa ngano hata kidogo.
MATUMIZI YAKE:
1. Kutengeneza Chapati za Maji au Kumimina (Pancakes)
2. Kutengeneza Uji kwa kutengeneza wenyewe tupu au kuchanganya na nafaka kuongeza Virutubisho katika lishe ya mwanao
3. Kutengeneza Keki za aina zote
4. Kutengeneza Mikate ya Korosho almonds na mbegu za maboga
Unafaa Kupika mapishi Mbalimbali katika Makundi yafuatayo:-
1. Kwa watoto wadogo Kuwatengenezea Lishe kupika Uji.
2. Kwa anayependa Kula kiafya
3. Anayetaka Kudhibiti magonjwa yote ya chakula Lishe hizi zina msaada mkubwa
4. Kwa watu wasiokula ngano kwa sababu ya Gluten
5. Mtu ambaye akila ngano na aina nyingine za nafaka au wanga hupata shida ya gesi na kiungulia.
ZINGATIA MATUMIZI YA UNGA
Hautumiki kama vile unavyo tumia ngano kumbuka unga huu unatumika hasa kwa wenye magonjwa ya lishe ili wapate Virutubisho toshelevu kila siku kwenye Chakula. Unatumika kwa Kuzingatia Kiwango ili usiathiri matokeo.
Mfano: Kwa siku unatakiwa Ule Chapati Moja tu ya Korosho au almond unatakiwa kupima Kijiko 1 cha chakula uvunje na mayai 2-3. Halafu ndipo unakaanga.
Hebu jiulize kila siku unatoa Kijiko 1 nusu kilo ya unga Itachelewa kuisha. Kwa uzoefu wetu Unahitaji bajeti ya Nusu Unga wa Korosho, Nusu Unga ya Almond na Nusu Unga wa Maboga kwa mwezi mzima.

BEI YA UNGA NA UJAZO WAKE
1. Unga wa almond 32,000 Nusu kilo
2. Unga wa Korosho Tsh 25,000 Nusu Kilo
3. Unga wa Mbegu za Maboga Tsh 15,000 Nusu kilo
Kufanya Manunuzi Tuma ujumbe au Piga
0787 999 994 au 0767030160
TUNA MAWAKALA ZAIDI YA MIKOA 15 TANZANIA WASILIANA NASI

TUPIGIE KAMA HUJAONA WAKALA MKOA WAKO: 0787 999 994.
.