DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI
𝗗𝗮𝗹𝗶𝗹𝗶 𝘇𝗮 𝘂𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗞𝗶𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶. Watu wengi tunaonekana wazima kwa macho lakini kwa ndani huwa tunaumwa kutokana na madhara ya chakula mwilini. Ni muhimu kujenga tabia ya kutembelea kituo cha afya kupima afya zetu ili tujue kama tunanyemelewa na magonjwambalimbali kama kisukari na kuanza matibabu mapema. Mtarajiwa wa ugonjwa wa kisukari anaonyesha dalili zifuatazo; 𝗞𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮…